.

Thursday, June 2, 2011

KAZI NDIYO KWANZA IMEANZA.


Shughuli ilianza pale Vimwana Manywele na Twanga Pepeta, wakijitambulisha kwa mashabiki na majaji kwa kuingia stejini na vazi la asili.

Wakionesha umahiri wao katika kunengua na vazi la asili.

Hakuna cha bure duniani ni lazima jasho likutoke mtoto wa kike.

"Hapo sasa hapo sasa" zungusha nyonga mwananguu.

Mratibu wa Kimwana Manywele na Twanga Pepeta, Maimatha wa Jesse baaada ya kupagawa na kuwasogelea Vimwana na kuwatunza.

"Kweli kazi ni ngumu" baada ya kumaliza ngwe ya kwanza wakatoka kwaajili ya kuingia ngwe nyingine.

Safari ya mmoja mmoja kuonesha umahiri wake ikaanza ili kusaka nafasi ya kwenda fainali.











Chief Judge, Methew Kiongozi aliye kulia akifuatilia kwa umakini mkubwa mpambano ukiendelea katika Club Suncirro.

Twanga Pepeta nao walito ushirikiano wa kutosha katika kutoa show ya nguvu.

Ukawadia ule mda wa kuvuna ulichopanda kipindi chote wakiwa kambini. Chief Judge akisoma waliofanikiwa kuingia hatua ya fainali.

"Kiukweli siamini kama nimepita!!!"



Hawa ndiyo kumi bora wakipongezana baada ya kutangazwa kuwa ndiyo wataingia kwenye fainali itakayofanyika tarehe  17/6/2011, pale Ubungo Plaza.

Wakiwa kwenye picha ya pamoja, wakiwa na na wadau mbali mbali.

Hawa ndiyo kumi bora waliamua kutoa show ya shukrani kwa kufanikiwa kupita kuelekea fainali.


Mkurugenzi wa ASET, Asha Baraka kushoto akitoa shukrani zake za dhati kwa wadau wote waliofanikisha shughuli hiyo kufana, akifutiwa na Husna Iddy kimwana wa 2007 (SAJENT) Kassim Muhamed (SUPER K) pamoja na Maimatha wa Jesse.

Sajent akitoa shukrani kwa walihudhuria.


Maimatha wa Jesse akiwashukuru wadhamini wake waliofanikisha shughuli hiyo kufana sana, pia amewaomba wale wote waliofika pale Club Suncirro na walioshindwa kufika wasikatee tamaa kwani fainali ni pale Ubungo Plaza tarehe 17/6/2011 mje mjionee Kimwana Manywele mpya wa mwaka 2011.

No comments:

Post a Comment