.
Sunday, June 5, 2011
BIRTHDAY PARTY YA DYANA YAJAA VITUKO.
| Diana akiwa anaingia ukmbini akiwa na Matron wake Leyler. |
| Elizabeth Michael "LULU" alkimpa nasaha za kuwa makini na fani anayoifanya kwa kujiepusha na Mapedeshee wa na akazanie masomo. |
| "Shosti umelikoroga" Lulu alisikika akimwambia Dyana kua kitendo cha kutangaza kua ana mpenzi amekosea kwani kapokea message inayomwambia Lulu kua kwa nini hakutaja jina la huyo mpenzi wake? |
| "Shosti punguza huzuni mbona ya kawaida hayo." |
| "Kweli nimelikoroga" |
| Muda wa keki umefika lakini Birthday Party hii haikua nana mama mzazi wala baba mzazi kwa madai eti wanaumwa. "Anyway tuyaache hayo hayatuhusu" |
| Dyana akimlisha keki Matron wake kwa style ya pekeeya mdomo kwa mdomo mhhhhhh!!!!! haya bana ndiyo keshamlisha. |
| Huyu ni mama mdogo wa Dyana wa katikati akiwa na mumuwe |
| "HUYU NDIYE KILA KITU KWANGU NI LAZMAA NIMLISHE KEKI" Hayo yalikua maneno ya Dyana. |
| Hawa wote ni wanawake na ni marafiki wakubwa na Dyana. |
| "Shuguli imeshaingia mdudu me nasepa" Dyana hakupenda tena kuwepo pale baadala yake akatokomea kusikojulikana. |
| Ukistaajabu ya Musa, utashangaa ya akina dada hawa. hawa wote ni akina dada waalikwa kwenye Birthday Party ya Dyana wakibusiana kwa mahaba mazito. |
Subscribe to:
Comments (Atom)