.
Sunday, April 17, 2011
WAIJUA BAIKOKO WEWE?
![]() |
| Ramadhani wa Baikoko akipiga ngoma kwa style ya kipekee wakati wakifanya onesho katika moja ya maonesho yao. |
![]() |
| Said Ali kiongozi wa kikundi cha ngoma cha Baikoko akiwa jukwaani akitumbuiza. |
![]() |
| Shabani naye mmoja wa wana Baikoko akinogesha ngoma kwa wapenzi wao. |
![]() |
| Hizi ndizo style za kuicheza Baikoko. (Bibi mbele & Bwana nyuma) |
![]() |
| Baikoko lazima kuchezwa na kanga kwa akina dada |
![]() |
| MHH.......... |
![]() |
| Sijui simu nayo inahusika kwenye hii ngoma? |
![]() |
| Ngoma zikipata tiba yake ili kuendelea na kazi |
![]() |
| Mmoja wa madensa waliojiajiri alipandwa mzuka na kuingia kati, jamaa huwa anapiga show zake maeneo mbali mbali ya burudani jijini Dar es salaam. |
![]() |
| kwa kizungu ni Drum kiswahili ni ngoma na pembeni nni mpiga ramli akichekecha kunogesha kwa kizungu zinaitwa sheker |
Subscribe to:
Comments (Atom)










