.

Tuesday, August 23, 2011

MORE PICS ZA HARUSI YA KIM KARDASHIAN

Kim K mwenyewe
      ze wifeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
                         Moja kati ya kina dada ambao wanafanya reality show ya kardashians,hapo akiwa baba  yake wa kufikia
                                                 ze husbanddddddddddddddddddddd

KIFO CHA AMY WINEHOUSE HAKIHUSIANI NA DAWA ZA KULEVYA....

Marehemu Amy Winehouse

Familia ya mwanadada Amy Winehouse aliyefariki hivi karibuni imesema kuwa vipimo vya kitabibu kupima sumu vimeonyesha kuwa hakukuwa na dawa za kulevya kwenye mwili wake wakati anafariki dunia kama ilivyodhaniwa awali.

Siku ya mazishi ya marehemu Amy

Familia hiyo imesema vipimo vimeonyesha kulikuwa na pombe kidogo sana lakini haijaangaliwa zaidi kama ilichukua nafasi yoyote katika kifo cha mwimbaji huyo aliyefariki dunia mwezi uliopita.

PICHA ZA HARUSI ZA KIM KARDASHIAN ZAUZWA KWA $1.5M.......

Venue ilikuwa kama hiyo
Ciara akiwasili pande za shughuli ilipotake place
Mel B nae ndani na alipendeza sana
Haya mambo yalikuwa black an White
Watu wakiwasili
Mwenyewe Kim Kardashian ndani ya gauni zuri lenye bonge la mkia nyuma kutoka kwa disigner wake ambaye awali alionyesha gauni jingine lakini unfortunately likabadilishwa
Venue inavyoonekana kwa juu
Haya mambo hayooo harusi ndio hivyo imekwisha Kim K sasa ni mke wa mtu....

MBUNGE ALIYEPATA AJALI AFARIKI DUNIA............

Marehemu Maalim Musa Silima
Gari alilopatia ajali 

Mbunge wa bunge la Tanzania kutoka baraza la wawakilishi (CCM) Mh. Maalim Musa Silima aliyepata ajali mbaya ya gari juzi katika eneo la Mzuguni mkoani Dodoma akiwa na familia yake ambapo mke wake Bi. Mwanaheri Alli alifariki papo hapo amefariki dunia leo mchana.

ARETHA FRANKLINE AENDELEA KUMSHAWISHI HALLE BERRY.......

Aretha Franklin

Mkongwe wa muziki wa soul Aretha Franklin bado anataka Halle Berry kufikiria kuigiza maisha yake ingawa muigizaji huyo amekataa jukumu hilo kutokana na kutoweza kuimba.

Franklin amesisitiza anakaribia kukamilisha dili la filamu ya maisha yake ambapo amesema anatafuta mtu anayemtaka yeye kuigiza uhusika wake na amesema kujua kuimba si kigezo kikubwa kwani watatumia soundtrack.
Halle Berry

Tangu awali Berry alifikiriwa kuigiza maisha ya malkia huyo wa soul, na sasa Franklin amesema hajaachana na wazo la kumshawishi Berry kuigiza katika filamu hiyo.