ladyhanifa&Salma Dacotha
.
Saturday, January 15, 2011
UPEPO UNAPOBADILIK KATIKA MAPENZI
Hali hii huwaumiza watu wengi sana na kuiona dunia chungu na kukumbuka mengi sana
kila mmoja hujionabora awe peke yake ukweli usiombe hali hii ikukute mapenzi matam sana ila ikifikia hapa ni machungu sana usukubali haya yakukute
MBWEMBWE ZA MAPENZI MAPYA
Penzi likiwa jipya lina raha sana kwani kila wakati mna raha ajabu hamtamani kuachiliana
mnakuwa kama watoto full kicheko
full mibusu
Newer Posts
Older Posts
Home
Subscribe to:
Posts (Atom)