.

Wednesday, August 10, 2011

RIHANNA KUCHEZA MOVIE YA ACTION...........!!!!!



Mwanamuziki Rihanna amelazimika kuingia katika mazoezi ya ukakamavu kwa  ajili ya kujiandaa na uigizaji filamu ya mapambano ya Battleship.


Mkali huyo wa kibao cha Umberalla ataigiza kama mwanajeshi mkakamavu katika  Battleship, na sasa anafanya mazoezi ya filamu hiyo kwenye meli kwa kukimbia, kuogelea na kunyanyua vitu vizito.


Hata hivyo Rihanna anafurahishwa na majukumu aliyopatiwa sasa, kwa kuwa yatamfanya amudu vyema nafasi ya kuigiza kama mwanajeshi baharia.


WATOTO WENYE VIPAJI VYA AJABU..........!!!!!!!!!!



Huyu anaitwa Akane Nikuura ni mtaalamu wa kuonja pombe.


Huyu ni Sindhuja Rajaraman amekuwa mtendaji mkuu (CEO) wa kampuni moja kubwa akiwa na umri wa miaka 14.

Mtoto mtaalamu wa kuchora tatoo ana miaka minne.

HALI ILIVYO KATIKA MIJI YA NCHINI UINGEREZA..............

Ghasia mbaya kabisa ambazo hazijawahi kutokea nchini Uingereza kwa miongo kadha sasa zimesambaa hadi mji wa Manchester na maeneo mengine ya kati nchini humo.