.

Thursday, January 13, 2011

MAENEO YA KUJIDAI COCOBEACH

Haya ni maeneo ya CocoBeach, Maeneo ya kujidai siku za weekend eneo hili limekuwa maarufu sana jijini Dar es Salaam kutokana na msosi unaopatikana hapa ambao ni mihogo na mishkaki.

Msosi ndio huu......umeiyona mishkaki ya chelewa hiyo.....mitamu balaaa

Salma Dacotha mhhhh......kama chumvi imepungua

Lady Hanifa Mwaka huu lazima shavu litoke

Claud naye hakuwa nyuma kulitafuta shavu

Baada ya shibe ni kicheko Lady Hanifa na Claud

Mkoko wa Salma Dacotha ukitua coco beach

KWA NINI UNAVUA PETE YA NDOA??????????

Jamani pete ya ndoa ina heshima yake na inapendeza sana endapo itatendewa haki kwa maana ya kwamba ivaliwe kwa ufasaha,.ingawa hadi sasa kuna baadhi ya wanandoa hawajui umuhimu wa pete za .ndoa.
hivi kwa nini baadhi ya wanandoa hawapendi kuvaa pete za ndoa,na hata wengine hudiriki kuzivua wanapokuwa na mambo yao  hususan kazi za nje?????????????????.????????????

ACHENI HIIZOOOOOOOOOOOOOOOOOO!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Unajua wadau hakuna kitu sikipendi kama mtu kufuatilia maisha ya mtu,yani unakuta libaba lizima linakosa kazi ya kufanya anaanza kufuatilia salma dacotha katoka saa ngapi,kavaa nini,anaenda wapi,na nani kisha anamwambia mpenzi wako,hivi mi sielewi inawezekana watu kama hawa sijui wanahisi unafaidi sana basi oleweni nyinyi,au pendweni nyinyi.na nadhani hawana nia nyingine yoyote zaidi ya kuona anawakosesha maelewano na anataka kuona mtu anafedheheka.jamani kama ipo ipo tu,..fanyeni yenu jamani maisha mafupi mtakuja kufa midomo waziiiiiiiiiii.mtu anamchunguza mtu na mpenzi wake,au mtu na mume wake mbona jamani mnajipa mapana ya gagulo la kisomali acheni hizo,huo muda unaopoteza kufuatilia ya watu ungekwenda basi hata shamba ukalima upate chakula...
HII NI KWA WOTE WALE MA ADALAAAAAAAA,KAMA IMEKUGUSA IMEZE KIMYA KIMYA.