Diana akiwa anaingia ukmbini akiwa na Matron wake Leyler. |
Elizabeth Michael "LULU" alkimpa nasaha za kuwa makini na fani anayoifanya kwa kujiepusha na Mapedeshee wa na akazanie masomo. |
"Shosti umelikoroga" Lulu alisikika akimwambia Dyana kua kitendo cha kutangaza kua ana mpenzi amekosea kwani kapokea message inayomwambia Lulu kua kwa nini hakutaja jina la huyo mpenzi wake? |
"Shosti punguza huzuni mbona ya kawaida hayo." |
"Kweli nimelikoroga" |
Muda wa keki umefika lakini Birthday Party hii haikua nana mama mzazi wala baba mzazi kwa madai eti wanaumwa. "Anyway tuyaache hayo hayatuhusu" |
Dyana akimlisha keki Matron wake kwa style ya pekeeya mdomo kwa mdomo mhhhhhh!!!!! haya bana ndiyo keshamlisha. |
Huyu ni mama mdogo wa Dyana wa katikati akiwa na mumuwe |
"HUYU NDIYE KILA KITU KWANGU NI LAZMAA NIMLISHE KEKI" Hayo yalikua maneno ya Dyana. |
Hawa wote ni wanawake na ni marafiki wakubwa na Dyana. |
"Shuguli imeshaingia mdudu me nasepa" Dyana hakupenda tena kuwepo pale baadala yake akatokomea kusikojulikana. |
Ukistaajabu ya Musa, utashangaa ya akina dada hawa. hawa wote ni akina dada waalikwa kwenye Birthday Party ya Dyana wakibusiana kwa mahaba mazito. |
No comments:
Post a Comment