.

Thursday, August 25, 2011

KATY PERRY NA LADY GAGA WAZUIWA CHINA

Katy Perry

Lady Gaga na Katy Perry ni moja kati ya wasanii waliowekwa katyika orodha mpya ya wasanii waliofungiwa nchini China ambapo nyimbo zao kama  "Last Friday Night"  ya Katy Perry na "The Edge of Glory," "Judas" na "Hair"  za Lady Gaga ni nyimbo ambazo wizara ya utamaduni nchini humo imezifungia kusikika au kuangaliwa katika jamii za vijana.

Lady Gaga