.

Thursday, June 2, 2011

HUYU NDIYO DOGO ANAYELIPWA MKWANJA MREFU HOLLYWOOD.


Jaden Smith wa kwanza kushoto akiwa na dada yake Wllow Smith mama yao Jadah Pinket Smith pamoja na Will Smith. Jaden ndiye mtoto anayelipwa mkwanja mrefu Hollywood katika fani ya uigizaji ambapo analipwa kiasi kisichopungua dola milioni mbili katika sinema ya The Karate Kid aliyocheza kama mhusika mkuu. Hata hivyo filamu hii ni ya tatu kucheza ambapo ya kwanza iklikua ni ile ya The Pursuit of  Happyness alishiriki sehemu ndogo akiwa na baba yake Will Smith. Mbali na uigizaji pia ni mwanamuziki ambapo ameimba wimbo ujulikanao kama Never Say Never aliouimba na Justin Bieber. 

JADEN SMITH

No comments:

Post a Comment