.

Tuesday, June 7, 2011

"HATA KUCHIMBA SHIMO LA TAKA NI JUKUMU LA SEREKALI"?


Wananchi waliowengi kutupa takataka maeneo yasiyo rasmi na mwisho wa siku mvua inaponyesha huanza kulalamika eti serekali na utendaji wake hawashughulikii suala la usafi. Sasa serekali ifanye mambo mangapi, hata kuchimba shimo la taka ni jukumu la serekali?

KUNA ULAZIMA WA KUKAA NUSU UCHI NDIYO UWE STAR? WATAZAME HAWA.






Kuna mavazi ya kuvaa usiku na mavazi ya kuvaa mchana, lakini dada zetu wengi huwa hawalizingatii hilo hata kidogo lakini pia tunaweza tusiwalaumu sana maana yawezekana hwana uwelewa wa mavazi na ndiyo maana wanachanganya mavazi. Tujifunze toka kwa wenzetu wa nje wao wana watu wao kwaajili ya mavazi wanao washauri ni nguo gani na wakati gani wavae.