.

Thursday, June 2, 2011

JAMANI HIVI VIDOLE VYA MKONO AU VYA MGUU?


Hembu tazama vidole vya jamaa huyu halafu useme  kama akipata kazi ya kupiga kinanda ataweza kweli? Maana vidole vyake vina ukubwa usio wakawaida hii simu unayoona anaongea nayo alibonyezewa na mtu mwingine yeye akapokea tu. Kidole chake kimoja kina ukubwa wa vidole viwili vya ukubwa wa kawaida, hivi hata Internet Cafe anaingia kweli!! Vidole vyake akibofya keybord, vinabofya vitufe viwili kwasababu ya ukubwa wa vidole vyake.

No comments:

Post a Comment