.

Sunday, January 9, 2011

MARUFUKU BONDE LA KUNDUCHI

Serikali imepiga marufuku uchimbaji wa kokoto eneo la Kunduchi, Barabara ya Bagamoyo, nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam na kuwaonya watu wote wanaojihusisha na uchimbaji huo kuwa watachukuliwa hatua za kisheria

KUMBE SI MCHEZO KAZI YA U'DJ

DWhite akimfua Ladyhanifa kuingia katika shughuli za U' Dj
DJ , Dwhite akiwa kazini

EPUKA UONGO KATIKA MAPENZI

Karibu katika ukurasa wa mapenzi, nakusihi sana ndugu yangu epuka uwongo kwani unaweza kuvunja mapenzi yako kwa uongo na mwenzio akigundua ulikuwa unamdanganya basi jua kuwa kuna nafasi kubwa ya kuvunjika mapenzi yenu kwani mapenzi ni faraja sasa iweje uweke uwongo. Epuka tabia hiyo kwani haipendezi na unaweza ukaondoa uaminifu katika mapenzi.
Uongo ni sumu ya mapenzi.