.

Tuesday, October 4, 2011

MWILI WA PROF. WANGARI MAATHAI KUCHOMWA MOTO.................

Wangari Maathari enzi za uhai wake

Mwili wa aliyekuwa mshindi wa tuzo ya amani ya Nobel na mwanaharakati wa mazingira kutoka Kenya Prof. Wangari Maathai utachomwa moto badala ya kuzikwa Jumamosi hii katika tanuu ya kuchomea moto maiti.

Maathai Tree

Enzi za uhai wake Prof. Maathai alisema kuwa hataki kuzikwa kwenye jeneza la mbao akidai ni uharibifu wa mazingira na kusema anataka kucomwa moto na majivu yake yawekweb kwenye taasisis yake ya masomo ya amani na mazingira.

DIAMOND AMVISHA PETE WEMA.......

Wema na Diamond

Nyota wa Bongo Flava,Naseeb Abdul aka Diamond Platinumz alifanya 'suprise' pande za Maisha Club kwenye Birthday Party yake kwa kumvalisha pete ya uchumba mpenzi wake Wema Abraham Sepetu (Miss TZ-2006).

Pete hiyoooooooo
Wema nae alimsupise boy wake huyo kwa cake matata

Monday, October 3, 2011

KAFUMU AIBUKA KIDEDEA IGUNGA..................

Aliyekuwa mgombea Ubunge katika uchagui mdogo jimbo la Igunga Dk. Dalaly Peter Kafumu ameibuka kidedea katika uchaguzi huo na kuwashinda wagombea wengine nane kutoka vyama vingine vya kisiasa....


Kafumu na wafuasi wake wakishangilia ushindi


Msimamzi wa uchaguzi Bw. Protace Magayana akitangaza matokeo leo jioni.