.

Thursday, June 2, 2011

VIMWANA MANYWELE WAKIJIFUA KWA MCHUJO WA KWANZA.

Vimwana Manywele na Manywele Enterteiment, wakiwa kwenye mazoezi ya mwisho mwisho kwaajili ya kuingi kwenye mchujo wa kwanza au nusu fainali itakayo fanyika pale Sunciro tarehe 27/5/2011, ambapo washindi watakaoingia nusu fainali watachuana baadaye mwezi wa 6.

Hakuna kazi rahisi jamani, kila mmoja anang'ang'ania kuingia nusu fainali na kuchukua ushind kabisa.



"Hii inachezwa hivi" Luiza Mbutu akitoa maelekezo kidogo jinsi ya uchezaji wa baadhi ya style za Twanga Pepeta.

Husna Iddy kimwana 2007 akijumuika nao kukumbushia enzi zake.

Baadhi ya Vimwana Manyele wakiwa kwenye picha ya pamoja na mwalimu wao Kasim Muhamed ambaye pia ni mcheza show wa Twanga Pepeta.

Kutoka kushoto ni Lady Hanifa, Maimatha wa Jese pamoja na Salma Dacotha. wakiwa na Vimwana Manyele kabla ya kuingia kwenye kinyang'anyiro cha nusu fainali.

TUNAPENDA KUWASHUKURU WADAU WETU WOTE MNAOTEMBELEA BLOG YETU PIA KUSIKILIZA KIPINDI CHETU CHA YALIYOMO YAMO CHA REDIO ONE KILA SIKU YA JMA TATU MPAKA ALHAMISI KUANZIA SAA TATU HASUBUHI MPAKA SAA SITA MCHANA. ASANTENI.

No comments:

Post a Comment