.

Thursday, June 2, 2011

EMINEM NA JUSTIN BIEBER NDIYO WASHINDI WA "BILLBOARD MUSIC AWARD"

Rapper EMINEM kushoto na Justine Bieber kulia ndiyo waliojinyakulia tuzo hizo kila mmoja zikiwa ni tuzo zenye kuonesha juhudi ya hali ya juu ya kile unachokifanya katika muziki duniani. Tuzo hizi zilitolewa katika jiji la Las  Vegas nchini Marekani.
 
Mkanada mwimbaji Justin Bieber kwa siku hiyo alijinyakulia tuzo sita kwa pamoja.

No comments:

Post a Comment