.

Wednesday, June 8, 2011

"NCHI SI MASKINI WEWE NDIYO MASKINI"

Hili ni burungutu la hela tena haziko Bank ni za mtu binafsi tena ziko tu stoe kwake sasa ukisema nchi ni maskini wakati wenzio wanachezea hela watakushangaa sana. "NCHI SI MASKINI WEWE NA MIMI NDIYO MASKINI"

"KWELI MUUMBA KAUMBA"

Huyu ni kijana mdogo ajulikanae kama Geoff Pastos na hiyo iliyo kwenye miguu yake ni pikipiki ya kuendesha watu wazima kama mimi na wewe lakini kwa kijana huyu ni kama ya kuchezea tu, na hapa alikua anapiga picha ya tangazo, "KWELI MUUMBA KAUMBA"

WILL SMITH ALA BATA KAMA KAWA.

Kuna uvumi ulizagaa kua muigizaji Willard Christopher (Will Smith) ameaga dunia, imegundulika jamaa yupo na kula bata kama kawa, uvumi huo uliovumishwa kutoka kwenye mtandao wa Fakeawish.com ndiyo ulitoa taarifa zisizo rasmi kupitia ukurasa wake wa Facebook na Twiter. Tunapenda kuwaomba viombo husika wasiwe wanatoa taarifa bila kuzifanyia uchunguzi wa kina kwani watalaamu wa mambo wanasema "NO RESEACH, NO RIGHT TO SAY"