.

Tuesday, May 17, 2011

"NIACHENI JAMANI NA NIMPENDAYTE"

Rehema Fabian aliyewahi kuwa mshiriki wa Miss Kiswahili, amevunja ukimya baada kuona anaandamwa sana na skendo kila kukicha baada kutengana na aliyekua mpenzi wake wa Rais wa wasafi Diamond Platnam na kuanza mahusiano na Rais wa Masharobaro Bob Junior, sasa ameamua kutulia na kushikamana kwa hali na mali na sahiba wake mkubwa ajulikanae kama Gaston Kissombe. Amesema Masharobaro hawana mapenzi ya kweli hata kidogo kitu ambacho kilikua kinamuumiza kila siku.

JAMANI JAMANI JAMANI MALOVEEEEEEEEEEEEEEEEEE

                                                         Beyonce na mumewe Jay-z
                  Kumbe hata wazungu wanashangaaa,sasa huyo hapo nyuma anashangaa nn
                                          kim kadarshian na kiumbe wake jamani
                                             Mmmmhhhhhhhhhhhhh..so sweet
                                                                  Yetu machooooooooo
                                          Lampard wa chelsea na kichuna chake


                                                We Ronadlo we weeeeeeeeeeeeeee

                                                                      Be carefully baby