.

Monday, August 29, 2011

MTV VIDEO MUSIC AWARDS.....!!!!!

Britney Spears akipokea tuzo ya  Best Pop Video award wimbo wa 'Till The World Ends'

Nate Mendel na Dave Grohl of Foo Fighters wakipokea tuzo ya Best Rock Video wimbo'Walk'.

Nicki Minaj akipokea tuzo ya Best Hip-Hop Video wimbo 'Super Bass'.
Kim Kardashian akimpatia tuzo yake Justin Bieber ya Best Male Video wimbo 'U Smile'.
Kanye West na Katy Perry wakipokea tuzo ya Best Collaboration wimbo 'E.T

Lady Gaga aka Jo Calderone akiwa on stage na Britney Spears wakipokea tuzo ya Michael Jackson Video Vanguard.

Lady Gaga aka Jo Calderone akipokea tuzo ya Best Female Video wimbo 'Born This Way'.
Katy Perry akipokea tuzo ya Video of the Year kwa wimbo 'Firework'.

MERCY JOHNSON SASA NI MKE WA MTU..............

Mwigizaji nyota kutoka kiwanda cha filamu Nigeria Mercy Johnson amefunga ndoa na Odianosen Okojie ambao sasa wameungana na kuwa mwili mmoja....


Mrs. Okojie ndani ya Wedding dress
Bibi na Bwana wakiwa na furaha baada ya kufunga ndoa....

....BEYONCE ATHIBITISHA KUWA MJAMZITO...!!!!!

Beyonce Knowles
Mwanamuziki Beyonce Knowles ambaye ni mke wa Jay Z mwanamuziki nyota ameonyesha picha aliyopiga ikionyesha tumbo kubwa baada ya kuwepo kwa uvumi kwa miezi kadhaa kuwa mwanamuziki huyo huenda akawa mjamzito.
Nyota huyo wa RnB ametumia mikono yake kuonyesha tumbo lake hilo akiwa amevaa gauni linalomwonyesha tumbo wakati anawasili kwenye tuzo za video Marekani Jijini Los Angeles.
Kila la kheri mama....