.

Wednesday, January 12, 2011

HAPPY BIRTHDAY MEL C

Mel C (Sporty Spice) ni mmoja kati ya wanamuziki waliounda kundi la Spice Girls. Leo anatimiza miaka 37... Mpenzi wa Liverpool na anatambulika kwa wingi wa tatoo mwilini ambapo mpaka hivi sasa amefikisha tatoo kumi na moja (11).

Na wimbo kwa wanablog wote... 

Kitu kipya kutoka kwa Rihanna






























Mwanamuziki mahiri Rihanna hajabaki nyuma katika ujasiriamali na hivi karibuni amezindua mzigo mpya unaoitwa Reb'l Fleur.
Haya sasa kazi kwenu...

Siri ya Urembo wake

Huyu ndiye Kimora Lee wa Simmons

Jamani urembo wa asili nampenda sana huyu mama... Hivi ndivyo anavyoonekana akiwa "mkavu" bila make up. Je dada zetu linawezekana hili kibongo bongo?

Hapa keshatupia kitu makeup... Mambo mazuri atiii.... Kama hujamuona bila makeup unaweza kubisha kama hii picha ina makeup.

Mimi salma dacotha nakuuliza hanifa hamidu unaweza kuishi bila makeup????????? Hapo Chachaaaa...