.

Monday, August 8, 2011

PATRICK NYEMBERA'S WEDDING RECEPTION @LAMADA GARDEN......!!!!!!!

Mwishoni mwa wiki hii mtangazaji mahiri wa kipindi cha 5 Sport kinachorushwa na EATV Patric Nyembera alifunga pindu hza maisha na mke wake kipenzi Agnes Ngodoki katika kanisa la St. Alban Posta na kufuatiwa na Reception iliyofanyika Lamada Garden na kuhudhuriwa na watu mbalimbali.Hizi ni baadhi tu ya picha za matukio yaliyojiri.
Mke wa Patrick,Bi. Agnes Ngodoki.

Patric katika picha ya pamoja na ndugu na jamaa waliohudhuria hafla yake.

>

No comments:

Post a Comment