.

Monday, August 8, 2011

FANTASIA AKABILIWA NA KESI..............


Mwanamuziki aliyeibuliwa na shindano la American Idol Fantasia Barrino anakabiliwa na kesi ya madai ya kutolipa deni benki.


Mwanamuziki huyo ambaye hivi karibuni alitangaza kutarajia kujifungua mtoto wake wa pili anakabiliwa na kesi ya deni la dola elfu 25 la benki.


Barrino aliwahi kukabiliwa na tatizo la fedha na karibu apoteze nyumba yake ya North Carolina mwaka 2009 na alifanikiwa kuiokoa ikiwa ni siku chache tu kabla ya kupigwa mnada.

Nyumba ya Fantasia

No comments:

Post a Comment