.

Monday, August 8, 2011

KAREN NA VINA WAPOKELEWA KWA SHANGWE KWAO NAIJA.......!!!!

Karen kulia na Vina
Mshindi wa BBA 6 Karen pamoja na mshiriki mwenzie kutoka nchini mwake aliyewakilisha hadi mwisho wa shindano Vina walipopokelewa kwa shangwa katika uwanja wa ndege wa Murtala Mohammed Nigeria,

Karen akiwasili uwanja wa ndege

Karen na mwenzie waliondoka Johansburg majuzi kuelekea nchini mwaoambapo Karen na Wrndal walijinyakulia kitita cha $ 200,000 kila mmoja baada ya kushindea shindano hilo lililodumu kwa siku 91 nchini Afrika Kusini.

Vina na mwenzie Karen wote walifanyiwa interview redioni baada ya kuwasili na usiku bonge ya party ya kuwakaribisha huko Chrome night club, VI.



Karen,Vina pamoja na mtangazaji wa radio nchini Nigeria walipokwenda kufanyiwa Interview

No comments:

Post a Comment