.

Monday, August 8, 2011

MARC ANTONY AMUOMBA JLO NAFASI YA PILI........


 Marc Antony(Mume wa zamani wa Jennifer Lopez)

Kwa mujibu wa chanzo kimoja cha habari kutoka majuu mume wa zamani wa mwanamuziki Jennifer Lopez, Marc Anthony anataka nafasi ya pili ili aweze kurudiana na mke wake.
Jennifer Lopez amenyanyuka na kuendelea na maisha yake lakini Marc Anthony anamuomba warudiane.


Mwanamuziki Jennifer Lopez

JLo and Marc walitengana mwezi uliopita na hivi sasa Marc Anthony ameshindwa kuvumilia kumuona Jlo akiwa mwenye furaha bila yeye hivyo anaomba warudiane.

Jennifer Lopez na Marc Anthony enzi za uhai wa ndoa yao.

No comments:

Post a Comment