.

Monday, August 8, 2011

DIONNE BROMFIELD AMUENZI MAMA YAKE AMY WINEHOUSE.....!!!!!!

Dionne Bromfield

Mtoto wa ubatizo wa Amy Winehouse, Dionne Bromfield amemuenzi msanii huyo aliyefariki dunia kwa kuimba moja ya nyimbo zake katika tamasha la muziki la Big Chill.


Bomfield akiwa na mama yake wa ubatizo Amy enzi za uhai wake

Bomfield ambaye ametia saini na lebo ya Winehouse ya Lioness amemuelezea mwalimu wake huyo katika sanaa ya muziki ba bosi wake kuwa ni muimbaji wa ajabu.

Bromfield akiimba

Bromfield alimalizia kutumbuiza katika tamasha hilo kwa wimbo wake wa huzuni uitwao Love is a Losing Game.

No comments:

Post a Comment