.

Monday, August 8, 2011

MTOTO AZALIWA NA VIDOLE 34......!!!!

Akshat alipozaliwa


Mtoto wa mwenye umri wa mwaka mmoja kutoka nchini India Akshat Saxena amevunja rekodi ya dunia baada ya kuzaliwa na vidole 34 vya miguu na mikono.



Akshat akiwa amepakatwa na baba yake.

Akshat Saxena ana vidole saba katika kila mkono na vidole 10 kwa kila mguu ambapo amefanyiwa kila aina ya upasuaji kuondoa baadhi ya vidole.


Vidole vya mikono
Vidole vyake vya miguu

No comments:

Post a Comment