.

Tuesday, August 23, 2011

ARETHA FRANKLINE AENDELEA KUMSHAWISHI HALLE BERRY.......

Aretha Franklin

Mkongwe wa muziki wa soul Aretha Franklin bado anataka Halle Berry kufikiria kuigiza maisha yake ingawa muigizaji huyo amekataa jukumu hilo kutokana na kutoweza kuimba.

Franklin amesisitiza anakaribia kukamilisha dili la filamu ya maisha yake ambapo amesema anatafuta mtu anayemtaka yeye kuigiza uhusika wake na amesema kujua kuimba si kigezo kikubwa kwani watatumia soundtrack.
Halle Berry

Tangu awali Berry alifikiriwa kuigiza maisha ya malkia huyo wa soul, na sasa Franklin amesema hajaachana na wazo la kumshawishi Berry kuigiza katika filamu hiyo.

No comments:

Post a Comment