.

Wednesday, August 10, 2011

RIHANNA KUCHEZA MOVIE YA ACTION...........!!!!!



Mwanamuziki Rihanna amelazimika kuingia katika mazoezi ya ukakamavu kwa  ajili ya kujiandaa na uigizaji filamu ya mapambano ya Battleship.


Mkali huyo wa kibao cha Umberalla ataigiza kama mwanajeshi mkakamavu katika  Battleship, na sasa anafanya mazoezi ya filamu hiyo kwenye meli kwa kukimbia, kuogelea na kunyanyua vitu vizito.


Hata hivyo Rihanna anafurahishwa na majukumu aliyopatiwa sasa, kwa kuwa yatamfanya amudu vyema nafasi ya kuigiza kama mwanajeshi baharia.


No comments:

Post a Comment