.

Friday, August 12, 2011

OLIVER MTUKUDZI AWASILI KAMPALA..........

Msanii wa kimataifa raia wa Zimbabwe Oliver Mtukudzi amewasili Jijini Kampala  kwa tamasha maalum la kuwasaidia wagonjwa wa saratani.

Mtukudzi atafanya onyesho hilo leo jioni Jijini Kampala pamoja na mwanamuziki Suzanne Awiyo.

Mtukudzi akiwa na Suzan Awino

Kwa mujibu wa waandaaji tamasha hilo fedha zitakazopatikana zitatolewa kwa wagonjwa wa saratani wa taasisi ya Bless A Child Foundation.

No comments:

Post a Comment