.

Friday, August 12, 2011

MERCY JOHNSON MJAMZITO........!!!!!???

Utata umeibuka kwa mmoja wa waigizaji wa sekta ya filamu ya Nigeria Mercy Johnson kuhusiana na mpango wake wa kuoana na Prince Odianosen Okojie ambaye tayari ana mke mwingine.

Licha ya sababu kadhaa zilizotolewa kuna habari mitaani kuwa sababu kubwa ya Mercy Johnson kung'ang'ania ndoa hiyo ni ujauzito alionao.

Inasadikiwa kusitisha ndoa hiyo wakati huu ambapo anaujauzito wa mchumba wake huyo na hali hiyo ndio chanzo cha yeye kukabiliwa na mtafaruku huo wa kuolewa na mume wa mtu.

No comments:

Post a Comment