.

Thursday, August 11, 2011

BEHIND THE SCENE YA KIPINDI CHA MAMBO YOYO.......@ITV....

Baadhi ya maandalizi ambayo huwa yanafanywa kabla ya kuanza Kipindi cha mambo Yoyo kinachorushwa na Kituo cha ITV Jumapili saa kumi na moja kasoro dakika tano jioni.

Hizi picha za kipindi cha Jumapili hii na msanii atakaekuwepo tafadhali usikose kutazama.

Setting ya Camera

Msanii wa wiki akifanyiwa Make up

Mtangazaji wa kipindi Lady Hanifa akifanya Make Up kujiweka Smart mbele ya Camera

1 comment:

  1. is that you???mama umenenepeana na mkorogo wangu uwiiiiiii acha bana weupe sio dili unapendeza na ngozi yako...

    ReplyDelete