.

Wednesday, June 8, 2011

WILL SMITH ALA BATA KAMA KAWA.

Kuna uvumi ulizagaa kua muigizaji Willard Christopher (Will Smith) ameaga dunia, imegundulika jamaa yupo na kula bata kama kawa, uvumi huo uliovumishwa kutoka kwenye mtandao wa Fakeawish.com ndiyo ulitoa taarifa zisizo rasmi kupitia ukurasa wake wa Facebook na Twiter. Tunapenda kuwaomba viombo husika wasiwe wanatoa taarifa bila kuzifanyia uchunguzi wa kina kwani watalaamu wa mambo wanasema "NO RESEACH, NO RIGHT TO SAY"

No comments:

Post a Comment