Mtot huyu alitakiwa kuwa darasani lakiniyeye mwenyewe anasema amejiajiri kwa kuomba barabarani kama nilivyomkuta maeneo ya barabara ya Morogoro wakati wa mchana. Nlipojaribu kumuuliza kuhusu shule, alisema yeye anawatunza wadogo zake kwa kipato hicho hicho cha kuomba barabarani hivyo anaiomba serekali isitishe zoezi la kutaka kupanua barabara maana hakutakua na foleni tena na wao watakufa njaa. "MAKUBWA" |
No comments:
Post a Comment