.

Thursday, January 13, 2011

ACHENI HIIZOOOOOOOOOOOOOOOOOO!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Unajua wadau hakuna kitu sikipendi kama mtu kufuatilia maisha ya mtu,yani unakuta libaba lizima linakosa kazi ya kufanya anaanza kufuatilia salma dacotha katoka saa ngapi,kavaa nini,anaenda wapi,na nani kisha anamwambia mpenzi wako,hivi mi sielewi inawezekana watu kama hawa sijui wanahisi unafaidi sana basi oleweni nyinyi,au pendweni nyinyi.na nadhani hawana nia nyingine yoyote zaidi ya kuona anawakosesha maelewano na anataka kuona mtu anafedheheka.jamani kama ipo ipo tu,..fanyeni yenu jamani maisha mafupi mtakuja kufa midomo waziiiiiiiiiii.mtu anamchunguza mtu na mpenzi wake,au mtu na mume wake mbona jamani mnajipa mapana ya gagulo la kisomali acheni hizo,huo muda unaopoteza kufuatilia ya watu ungekwenda basi hata shamba ukalima upate chakula...
HII NI KWA WOTE WALE MA ADALAAAAAAAA,KAMA IMEKUGUSA IMEZE KIMYA KIMYA.

No comments:

Post a Comment