.

Thursday, January 13, 2011

MAENEO YA KUJIDAI COCOBEACH

Haya ni maeneo ya CocoBeach, Maeneo ya kujidai siku za weekend eneo hili limekuwa maarufu sana jijini Dar es Salaam kutokana na msosi unaopatikana hapa ambao ni mihogo na mishkaki.

Msosi ndio huu......umeiyona mishkaki ya chelewa hiyo.....mitamu balaaa

Salma Dacotha mhhhh......kama chumvi imepungua

Lady Hanifa Mwaka huu lazima shavu litoke

Claud naye hakuwa nyuma kulitafuta shavu

Baada ya shibe ni kicheko Lady Hanifa na Claud

Mkoko wa Salma Dacotha ukitua coco beach

No comments:

Post a Comment