.

Sunday, January 9, 2011

EPUKA UONGO KATIKA MAPENZI

Karibu katika ukurasa wa mapenzi, nakusihi sana ndugu yangu epuka uwongo kwani unaweza kuvunja mapenzi yako kwa uongo na mwenzio akigundua ulikuwa unamdanganya basi jua kuwa kuna nafasi kubwa ya kuvunjika mapenzi yenu kwani mapenzi ni faraja sasa iweje uweke uwongo. Epuka tabia hiyo kwani haipendezi na unaweza ukaondoa uaminifu katika mapenzi.
Uongo ni sumu ya mapenzi.

No comments:

Post a Comment