.

Tuesday, October 4, 2011

MWILI WA PROF. WANGARI MAATHAI KUCHOMWA MOTO.................

Wangari Maathari enzi za uhai wake

Mwili wa aliyekuwa mshindi wa tuzo ya amani ya Nobel na mwanaharakati wa mazingira kutoka Kenya Prof. Wangari Maathai utachomwa moto badala ya kuzikwa Jumamosi hii katika tanuu ya kuchomea moto maiti.

Maathai Tree

Enzi za uhai wake Prof. Maathai alisema kuwa hataki kuzikwa kwenye jeneza la mbao akidai ni uharibifu wa mazingira na kusema anataka kucomwa moto na majivu yake yawekweb kwenye taasisis yake ya masomo ya amani na mazingira.

No comments:

Post a Comment