Wema na Diamond
Nyota wa Bongo Flava,Naseeb Abdul aka Diamond Platinumz alifanya 'suprise' pande za Maisha Club kwenye Birthday Party yake kwa kumvalisha pete ya uchumba mpenzi wake Wema Abraham Sepetu (Miss TZ-2006).
Pete hiyoooooooo
Wema nae alimsupise boy wake huyo kwa cake matata



wambea mpoooooooooooo mmekomeshwaje? wenyewe wanapenda watu manenoooooooo haya semeni sasa
ReplyDelete