.

Monday, August 1, 2011

KAREN, WENDAL BBA AMPLIFIED WINNERS.........!!!!!!!!!


Baada ya kutingisha kwa takribani siku 91shindano la Big Brother Africa Amplified limemalizi rasmi ambapo mwanadada Karen na Wrndal wameibuka vinara yani washindi na kunyakua kitita cha $200 000 kila mmoja kwa kuwa mwaka huu washindi walikuwa wawili.

No comments:

Post a Comment