Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania limeamua kuunda Kamati maalum itakayochunguza sakata la Katibu Mkuu Kiongozi Philomeni Luhanjo kutangaza matokeo ya uchunguzi tuhuma za Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na madini David Jairo na kumrejesha kazini kabla ya matokeo ya uchunguzi wa tuhuma kujadiliwa Bungeni.
Bw. Jairo alirejea leo ofisini kufuatia amri ya katibu mkuu kiongozi Philemon Luhanjo kwa madai ya kuwa hana hatia katika sakata hilo,chini ni baadhi ya matukio wakati anarejea na kupokelewa kwa shangwe na wafanyakazi w wizara huyo kabla bunge halijabatilisha hatua hiyo.....
Bw David Jairo
No comments:
Post a Comment