.

Thursday, June 9, 2011

Ja Rule kaanza kifungo chake cha kosa la kukamwatwa na siraha kinyume cha sheria siku ya jana, Jamaa atakuwa jela kwa mda wa miezi 18 hadi 20, kitu cha kama mwaka mmoja na nusu hiviiiiii. Ndani ya huo mwaka mmoja na nusu ataachia album zake mbili mpya ambazo kamaliza kuzifanya juzi siku moja kabla ya kwenda jela.

Wakati anatoka mahakamani siku ya jana huku kafungwa pingu, tayari kwa safari ya kwenda jela, ndugu na marafiki zake waliojitokeza k**-support walilia sana pale alipo waaga akiwaambia kuwa “Tutaonana”…

Ndani ya Teentz.com unaweza kumuona Ja Rule live akiwa studio siku ya juzi akimalizia album zake na akijipa moyo huku akijilahumu kwa kuwa mtu maarafu na akielezea swagga ambalo atakuwa analitumia akiwa jela ili watu wasije kumfanyia kitu mbaya.

No comments:

Post a Comment