.

Tuesday, May 17, 2011

"NIACHENI JAMANI NA NIMPENDAYTE"

Rehema Fabian aliyewahi kuwa mshiriki wa Miss Kiswahili, amevunja ukimya baada kuona anaandamwa sana na skendo kila kukicha baada kutengana na aliyekua mpenzi wake wa Rais wa wasafi Diamond Platnam na kuanza mahusiano na Rais wa Masharobaro Bob Junior, sasa ameamua kutulia na kushikamana kwa hali na mali na sahiba wake mkubwa ajulikanae kama Gaston Kissombe. Amesema Masharobaro hawana mapenzi ya kweli hata kidogo kitu ambacho kilikua kinamuumiza kila siku.

No comments:

Post a Comment