| Waombolezaji wakiupokea mwili tayari ya kuupeleka msikitini kwa maombi zaidi kabla ya maziko. |
| Msafara ulianza kuelekea msikitini |
| Mwili wa Mnajimu ukiwa tayari umeshaombewa dua tayari kwa maziko. |
| Vijana wa Kiislam wakizkri wakati wa kuelekea kaburini. |
| Mwili ukiwasili kwenye makaburi ya Tambaza kwaajili ya maziko. |
| Waombolezaji wakisikiliza kwa makini Swala iliyokua ikitolewa na mmoja wa viongozi wa dini ya Kiislam. |
| Chekibudi ni mmoja wa Wasanii waliohudhuria msiba huo. |
| Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akimfariji mtoto wa Sheigh Yahaya Husein wakati akifuatilia maziko ya baba yake yakiendelea kaburini hapo. |
| Baadhi ya watoto wa marehemu na viongozi wa dini ya Kiislam wakiupokea mwili wa Marehem kwaajili ya kuungiza mwandani. |
| Hapa wakimuingiza mwandani. |
| Pumzika Mnajimu wetu. |
| Viongozi mbalimbali nao waliungana na ndugu wa marehem katika kuomboleza. Hapa Shamsi Vuai Nahodha akiweka udongo kwenye kaburi la marehemu. |
| Mzee wa Upako naye akiweka udongo. |
| Steven Wasira akionesha upendo kwa marehemu. |
| Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzani Dr. Jakaya M. Kikwete akiweka udongo kwa huzuni mkubwa. |
| "Baba kwaheri tangulia sisi tuko nyuma yako" Mtoto wa Sheigh Yahaya Husein akiweka udongo kwenye kaburi la baba yake. |
| Hii ni baadhi ya gari aliloacha Marehem likiwa limebeba watoto wa marehemu. Mwenyezi Mungu ailaze roho ya marehemu mahali panapostahili kulingana na matendo yake na imani yake Amen. |
No comments:
Post a Comment