.

Monday, August 29, 2011

....BEYONCE ATHIBITISHA KUWA MJAMZITO...!!!!!

Beyonce Knowles
Mwanamuziki Beyonce Knowles ambaye ni mke wa Jay Z mwanamuziki nyota ameonyesha picha aliyopiga ikionyesha tumbo kubwa baada ya kuwepo kwa uvumi kwa miezi kadhaa kuwa mwanamuziki huyo huenda akawa mjamzito.
Nyota huyo wa RnB ametumia mikono yake kuonyesha tumbo lake hilo akiwa amevaa gauni linalomwonyesha tumbo wakati anawasili kwenye tuzo za video Marekani Jijini Los Angeles.
Kila la kheri mama....

No comments:

Post a Comment