.

Sunday, April 17, 2011

WAIJUA BAIKOKO WEWE?


Ramadhani wa Baikoko  akipiga ngoma kwa style ya kipekee wakati wakifanya onesho katika moja ya maonesho yao.



Said Ali kiongozi wa kikundi cha ngoma cha Baikoko akiwa jukwaani akitumbuiza.


Shabani naye mmoja wa wana Baikoko akinogesha ngoma kwa wapenzi wao.


Hizi ndizo style za kuicheza Baikoko. (Bibi mbele & Bwana nyuma)


Baikoko lazima kuchezwa na kanga kwa akina dada


MHH..........


Sijui simu nayo inahusika kwenye hii ngoma?



Ngoma zikipata tiba yake ili kuendelea na kazi


Mmoja wa madensa waliojiajiri alipandwa mzuka na kuingia kati, jamaa huwa anapiga show zake maeneo mbali mbali ya burudani jijini Dar es salaam. 


kwa kizungu ni Drum kiswahili ni ngoma na pembeni nni mpiga ramli akichekecha kunogesha kwa kizungu zinaitwa sheker


No comments:

Post a Comment