.

Friday, August 26, 2011

KAREN KUFANYA MUZIKI..................

Karen Igho

Mshindi wa Big Brother Amplified mwaka huu Karen Igho anadaiwa kuwa na mpango wa kufanya muziki na amepania kufanya vyema katika tasnia hiyo.

Wakati kukiwa na tetesi kuwa atakwenda kufanya maigizo baada ya kuwahi kushiriki shindano la Next Movie Star na BBA amefanya tofauti na kuipa kisogo tasnia hiyo ya filamu na kuamua kufanya muziki.

No comments:

Post a Comment