.

Thursday, April 21, 2011

KAVA LA THE DIARY

Kutoka kushoto ni JACKLINE PENTZEL, WEMA SEPETU pamoja na ROSE NDAUKA kwa pamoja wanaunda kundi linaloitwa JAROWE ambapo wana malengo mengi sana kwenye Industry ya Filamu BONGO.. kwasasa hivi wamekuja na filamu yao mpya kabisa inayoitwa THE DIARY kama cover yake inavyoonekana hapo juu.. Huu ni muunganiko mzuri kwa pamoja tuwaunge mkono. 

No comments:

Post a Comment