Wadau tunaomba radhi , muda mrefu sasa hatujaweka vitu ambavyo mnatamani kuvipata kupitia Blog yetu. Tunawaaahidi wiki ijayo mtapata mambo mazuri. Tunaomba radhi wadau mambo yameingiliana.
TUNAWAPENDA SANA
.
Tuesday, February 22, 2011
Monday, February 7, 2011
NANI MATAWI YA JUU KATIKA KIVAZI CHA JIONI
Rihana katupia kitu cha pink,c unajua tena pink for ladies
Haya sasa mama wa nick kanon naye .Mariah Carey
Mrs Shawn Corey Carter (jay-z) katupia kitu cha gold na black,Beyonce

Mrs Marc Anthony ,Jeniffer lopez hapo vp...............................
Saturday, February 5, 2011
EPUKA UCHAFU KATIKA MAPENZI
Katika mapenzi epuka uchafu kwani unaweza kumkera mpenzi wako kwa kuwa mchafu , Jitaidi kila wakati kuwa msafi ili uwe kivutio kwa mpemzi wako na hili liwe kwa pande zote mbili isiwe kwa mwanamke peke yake. Kumekuwa na hisia flani kuwa mwanamke ndie anatakiwa kuwa msafi muda wote hii ni dhana potofu kwani ata mwanaume anatakiwa kuwa msafi kwa mpenzi wake .Tuangalie sehemu muhimu katika mapenzi inakera kumuona mpenzi wako ananuka Mdomo, Jasho na sehemu nyingine ambazo zinakera sana pia kuwa mchafu wa mavazi haipendezi.Jitahidi kujiweka sawa katika usafi ili kumvutia mwenzio kwani atatamakukumbatia muda wote na kuwakaribu na wewe.Kwaleo tuishie hapa tukutane tena katika ukurasa wa mapenzi kuwekana sawa
Wednesday, February 2, 2011
HARUSI YA INNI EDO WA NIGERIA
Gari hili lilimbemba Inni Edo na mumewe siku ya harusi yao
INNI EDO ni msanii wa filamu wa kike kutoka nchini Nigeria,Amezaliwa tar 19 april 1982.Alianza uigizaji mwaka 2000,hadi sasa ameshacheza filamu zaidi ya 50,na alimaliza chuo cha sanaa university of calabar.
Akiiingia ukumbini FULL KUJIAMINI
Mi mzuri jamani na nimependeza
Akimpa support mr kukata keki
Shosti akiuza sura,sijui ya kwake lini
Mmmmmmmmmmm,kitu cha lace weag
Jamani colour mmeiona hiyo
Mashostito wakiuza nyago
Jamani suala la mila pia lilichukua nafasi yake
Mwanamke mume ,Mwanamke ndoaaaaaaaaaaaaaaa
Abega Abega........
Huku ndiko chimbuko la vilemba.Vilemba oyeeeeeeeeeeeeeeeeeee

UREMBO
Asilimia kubwa ya watu wazima na vijana wa sasa wamekuwa na muonekano wa weusi kwenye macho pasipo kujua sababu na namna ya kuuondoa.
Huu weusi wakati mwingine unakuwa katika mfumo wa macho kuvimba na husababishwa na vitu vifuatavyo.
Ukosefu wa usingizi, uchovu, msongo wa mawazo, ukosefu au upungufu wa lishe au wakati mwingine dalili ya kuwepo kwa ugonjwa.
Mtu anapokuwa na mafua makali pia macho huonekana meusi na kuwa yamevimba
Kwa watu wenye umri mkubwa mfano kuanzia miaka 40 na kuendelea wanaweza kukumbana na hii hali ikiwa ni ishara ya ngozi kuanza kuzeeka.
Kuepuka hali hii fanya yafuatayo:
1-Kunywa maji kwa wingi, yani glasi 8 hadi 10 kwa siku kila siku.
2-Hakikisha unaepuka njia au vitu vinavyofanya uchoshe macho kama vile kutumia kompyuta au kuangalia TV kwa muda mrefu.
3-Hakikisha huachi cream ya aina yoyote katika ngozi ya macho kwa muda mrefu, dakika kumi baada ya kupaka krimu usoni futa kuzunguka macho ili kuiondoa.
4-Unapolala tumia mto ili kunyanyua kiichwa na kuzuia maji maji ya mwili kujilimbikiza katika eneo linalozunguka macho wakati umelala.
TIba:
Weka slesi za viazi kwenye macho ukiwa umeyafunga na uiache kwa dakika 15-20. Au tumia tango la baridi kuweka kwenye macho au majani ya chai (tea bags) iliyokwisha tumika kwa dakika 20.
Paka mchanganyiko wa limao na juisi ya nyanya kwenye sehemu iliyoathirika kila siku mara mbili.
Kila jioni paka mafuta ya mzaituni.

Tuesday, February 1, 2011
EEEEH MUNGU TUSAMEHE DHAMBI ZETU!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Ni tukio ambalo limeshitua na kusikitisha watu jana katika jiji la Dar es salam,Eneo la Mwananyamala kwa kopa karibu na Makabuiri ya Mwnanyamala , walikutwa watoto wachanga 11 wamefukiwa katika shimo lenye urefu wa futi moja wakiwa wamevingirishwa katika shuka moja lenye nembo ya hospitali ya Mwananyamala.
Hili ndilo shimo ambalo ilifukiwa miili ya watoto wachanga waliokutwa wamefariki. Eneo hili lilitambuliwa na bwana mmoja aliyejulikana kwa jina moja tu la thabit alipokuwa katika harakati za kutafuta eneo la kuchimba kwa ajili ya kutupia takataka. Ukweli inasikitisha sana. Mpaka sasa swala hili lipo katika mikono ya sheria tutaendelea kukupa habari mambo yanavyoendelea.

Subscribe to:
Posts (Atom)