Zoezi hili lilichukua nafasi katika ukumbi wa Diamond jubilee
Mwenyekiti wa Ipp Media Bw Reginald Mengi akiongea na walemavu waliohudhuria kwa kuwatia moyo wa kutokata tamaa katika maisha.
Wazee wa ze comedy nao hawakuwa nyuma
Mhalatito tukishow Love kwa kuwahudumia wenzetu walemavu Hanifa Hamidu na Salma Dacotha( WAMILIKI WA BLOG HII .KARIBUNI WADAU)
Mmmmmmmmhhhhhhhhh!!!!!!! Jamani mtoto mzuri...I feel this babyyyy.
Salma Dacotha na mtoto mwenye ulemavu wa ngozi
Waheshimiwa pia walikuwepo.........hapa hapa ndo pakupigia picha ukienda bungeni ntakupata wapi..mh Olesendeka
Daaaah kiukweli hili tabasamu ni kwa ajili ya huyu mtoto.alinivutia sana ..so cuteeeeeee!!!Lady Hanifa
Watangazaji wa Capital Tv na Radio nao hawakuwa nyuma ktk kushow love.Glory,Amri Massare,Sara Kipingu
Dominic Nyalifa wa EATV akikusanya picha za hi 5.ha ha ha ha ha !!!!!!!
Kwa upande wa burudani wasanii kibao walipaform.mama some food lady jd akiwapa mzuka walemavu
Alikiba nae akiwapa salamu za R kelly.Walikuwepo pia Chid Benz,Ay & Fa,Banana Zorro,Diamond,Marlaw na wengineo pamoja na vikundi mbalimbali vya burudani vya walemavu....Zoezi lilienda vizuri ,Walifurahi na kumtakia maisha marefu Bw Reginald Mengi.
.
Tuesday, January 25, 2011
HAPPY BIRDHDAY OBBY
Siku ya kuzaliwa mtoto wa Salma Dacotha Palikuwa hapatoshi maeneo ya Picollo Hotel,Salma Dacotha aligeuka Samaki Siku hiyo.Hongera mama kwa Kuleta Handsome Boy duniani.
Tulijumuika kwa pamoja ma girlfriends.kushoto Salma Dacotha,Mecky,Sara kipingu wa Capital Radio na mtoto wake sasha,hanifa Hamidu (lady hanifa) na handsome obby
Obby anapenda sana mpira
Lovely son Obby- happy Birthday mwaka 1.mmmmmh obby mbona umenuna
Obby akimlisha keki mama yake Salma Dacotha
Tulijumuika kwa pamoja ma girlfriends.kushoto Salma Dacotha,Mecky,Sara kipingu wa Capital Radio na mtoto wake sasha,hanifa Hamidu (lady hanifa) na handsome obby
Obby anapenda sana mpira
Lovely son Obby- happy Birthday mwaka 1.mmmmmh obby mbona umenuna
Obby akimlisha keki mama yake Salma Dacotha
Thursday, January 20, 2011
KARIBU SUMAITA UHITAJI KWENDA SOKONI
KARIBU SANA SUMAITA COMPANY TUPO TEGETA BASIHAYA
Tuesday, January 18, 2011
RAHA YA PENZI HESHIMA
Ni kweli ukubali au ukatae penzi lenye heshima lina raha yake , kuna watu unawakuta wanaongea lugha ya matusi utadhani sio wapenzi haipendezi ,Na hapo inawezekana bado hawajawa na familiia,Hivi endapo watabahatika kuipata familia jamani itakuwa na maadili yapi kama sio watoto wenye matusi kama wazazi wao????? Haipendezi jamani kama unafanya hivyo acha mpaka mpenzi wako akushangae kwa mabadiliko yako . Penzi likiwa na Heshima kwani ,Hata mpenzi wako anaona raha kukutambulisha kwa rafiki zake anajuwa huwezi kumtia aibu mbele ya watu wake ,unapokuwa na lugha mbaya unaweza ukawa unakimbiwa hatoki na wewe kwa kujuwa utamtia aibu na hii ni kwa wote tubadilike. MPENDE MWENZIO,MPE THAMANI YAKE NA UMUHESHIMU.
Monday, January 17, 2011
HAPPY BIRTHDAY FIRST LADY
Ni mtu wa tabasamu muda wote inawezekana ndo maana ana ngozi nzuri
Umeichabo hair style hiyo
Saturday, January 15, 2011
UPEPO UNAPOBADILIK KATIKA MAPENZI
MBWEMBWE ZA MAPENZI MAPYA
Friday, January 14, 2011
NI KWELI AU UNAZUGA
Thursday, January 13, 2011
MAENEO YA KUJIDAI COCOBEACH
![]() |
| Haya ni maeneo ya CocoBeach, Maeneo ya kujidai siku za weekend eneo hili limekuwa maarufu sana jijini Dar es Salaam kutokana na msosi unaopatikana hapa ambao ni mihogo na mishkaki. |
![]() |
| Msosi ndio huu......umeiyona mishkaki ya chelewa hiyo.....mitamu balaaa |
![]() |
| Salma Dacotha mhhhh......kama chumvi imepungua |
![]() |
| Lady Hanifa Mwaka huu lazima shavu litoke |
![]() |
| Claud naye hakuwa nyuma kulitafuta shavu |
![]() |
| Baada ya shibe ni kicheko Lady Hanifa na Claud |
![]() |
| Mkoko wa Salma Dacotha ukitua coco beach |
KWA NINI UNAVUA PETE YA NDOA??????????
Jamani pete ya ndoa ina heshima yake na inapendeza sana endapo itatendewa haki kwa maana ya kwamba ivaliwe kwa ufasaha,.ingawa hadi sasa kuna baadhi ya wanandoa hawajui umuhimu wa pete za .ndoa.
hivi kwa nini baadhi ya wanandoa hawapendi kuvaa pete za ndoa,na hata wengine hudiriki kuzivua wanapokuwa na mambo yao hususan kazi za nje?????????????????.????????????
hivi kwa nini baadhi ya wanandoa hawapendi kuvaa pete za ndoa,na hata wengine hudiriki kuzivua wanapokuwa na mambo yao hususan kazi za nje?????????????????.????????????
ACHENI HIIZOOOOOOOOOOOOOOOOOO!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Unajua wadau hakuna kitu sikipendi kama mtu kufuatilia maisha ya mtu,yani unakuta libaba lizima linakosa kazi ya kufanya anaanza kufuatilia salma dacotha katoka saa ngapi,kavaa nini,anaenda wapi,na nani kisha anamwambia mpenzi wako,hivi mi sielewi inawezekana watu kama hawa sijui wanahisi unafaidi sana basi oleweni nyinyi,au pendweni nyinyi.na nadhani hawana nia nyingine yoyote zaidi ya kuona anawakosesha maelewano na anataka kuona mtu anafedheheka.jamani kama ipo ipo tu,..fanyeni yenu jamani maisha mafupi mtakuja kufa midomo waziiiiiiiiiii.mtu anamchunguza mtu na mpenzi wake,au mtu na mume wake mbona jamani mnajipa mapana ya gagulo la kisomali acheni hizo,huo muda unaopoteza kufuatilia ya watu ungekwenda basi hata shamba ukalima upate chakula...
HII NI KWA WOTE WALE MA ADALAAAAAAAA,KAMA IMEKUGUSA IMEZE KIMYA KIMYA.
HII NI KWA WOTE WALE MA ADALAAAAAAAA,KAMA IMEKUGUSA IMEZE KIMYA KIMYA.
Wednesday, January 12, 2011
HAPPY BIRTHDAY MEL C
Mel C (Sporty Spice) ni mmoja kati ya wanamuziki waliounda kundi la Spice Girls. Leo anatimiza miaka 37... Mpenzi wa Liverpool na anatambulika kwa wingi wa tatoo mwilini ambapo mpaka hivi sasa amefikisha tatoo kumi na moja (11).
Na wimbo kwa wanablog wote...
Kitu kipya kutoka kwa Rihanna
Mwanamuziki mahiri Rihanna hajabaki nyuma katika ujasiriamali na hivi karibuni amezindua mzigo mpya unaoitwa Reb'l Fleur.
Haya sasa kazi kwenu...
Siri ya Urembo wake
Huyu ndiye Kimora Lee wa Simmons
Jamani urembo wa asili nampenda sana huyu mama... Hivi ndivyo anavyoonekana akiwa "mkavu" bila make up. Je dada zetu linawezekana hili kibongo bongo?
Hapa keshatupia kitu makeup... Mambo mazuri atiii.... Kama hujamuona bila makeup unaweza kubisha kama hii picha ina makeup.
Mimi salma dacotha nakuuliza hanifa hamidu unaweza kuishi bila makeup????????? Hapo Chachaaaa...
Jamani urembo wa asili nampenda sana huyu mama... Hivi ndivyo anavyoonekana akiwa "mkavu" bila make up. Je dada zetu linawezekana hili kibongo bongo?
Hapa keshatupia kitu makeup... Mambo mazuri atiii.... Kama hujamuona bila makeup unaweza kubisha kama hii picha ina makeup.
Mimi salma dacotha nakuuliza hanifa hamidu unaweza kuishi bila makeup????????? Hapo Chachaaaa...
Subscribe to:
Posts (Atom)









































